Kuanzia kulia ni mgombea wa uraisi Mauna Chuma akiwa na Mpoki Ndimyaki (kati) ambaye ndiye mratibu wa kampeni za mgombea huyo pamoja na Humphrey Kusika
MAONI YA WADAU KUHUSU RAISI WANAYEMTAKA
Mimi kwanza kura sipigi maana sikubali kudanganyika
Kwanza uongozi uliopita ungetuambia elfu kumi na nane zetu umepeleka wapi
Inabidi aruhusu hata bodaboda zipaki ndani ya chuo
Raisi akiwa sharobaro itakuwa poa sio habari za kichungaji
Raisi awe mtu wa watu mara mojamoja awe anatokea hata kwenye birthday
Anatakiwa awe muwazi sio fisadi kama baadhi ya waliopita
Awe anajali hata michezo kidogo
Akiwa mnywaji kama yule mwingine pia sio mbaya ila asiwe fisadi
No comments:
Post a Comment
COMMENT HAPA UKIMALIZA, KWENYE PROFILE SELECT ANONYMOUS KISHA BONYEZA PUBLISH.