NI BAADA YA KUMALIZA MUDA WAKE KAMA NAIBU KATIBU MKUU WA UN
Mama Salma Kikwete aliyekuwa mgeni rasmi katika
sherehe hiyo akionesha umaridadi wa kucheza ngoma pamoja na Dr. Asha Rose Migiro
Bibi Maria Nyerere(katikati) akiwa pamoja na Mama Siti (kulia)
pamoja na spika wa bunge Ana Makinda wakisikiliza hotuba ya
Mgeni rasmi
Mwenyekiti wa UWT na Mh. Waziri wa maendeleo ya jamii na jinsia na watoto (kulia) akiupungia umati uliokusanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja
Mama Salma akimkabidhi tuzo Dr Migiro
Dr Migiro akiwapa mkono watu waliokuwa wakimshangilia na kumpa zawadi
No comments:
Post a Comment
COMMENT HAPA UKIMALIZA, KWENYE PROFILE SELECT ANONYMOUS KISHA BONYEZA PUBLISH.