Pages

Sample Text

Frank Kimaro run this blog

9/17/2012

Jordan Rugimbana azindua wiki la nenda kwa usalama barabarani Dar es salaam

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mh Jordan Rugimbana alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa wik ya nenda kwa usalama barabarani.

KAULI MBIU PAMBANA NA AJALI ZA BARABARANI KWA VITENDO ZINGATIA SHERIA

Jordan Rugambana baada ya kuwasili kwenye viwanja vya mnazi mmoja

Baadhi ya maaskari wakipiga Gwaride mbele ya Mgeni rasmi
                           
Kalunde band wakitumbuiza katika maadhimisho hayo
                           
                                Watoto wakiimba nyimbo inayohamasisha wiki la nenda kwa usalama barabarani

                                Mgeni rasmi akiuliza swali kuhusu alama za barabarani

                                Baada ya yote akahojiwa na waandishi wa habari ambapo alitoa wito kwa vyombo vya habari kuwa vinatakiwa vikumbushe wananchi juu ya umuhimu wa kufuata sheria za barabarani.

MAADHIMISHO YA WIKI LA USALAMA BARABARANI YATAFANYIKA MKOANI IRINGA

No comments:

Post a Comment

COMMENT HAPA UKIMALIZA, KWENYE PROFILE SELECT ANONYMOUS KISHA BONYEZA PUBLISH.