Waziri Nchimbi baada ya kupokelewa tofauti na alivyotegemea ikabidi apande gari na kurudi alipotoka.
HABARI KATIKA PICHA
Kalamu na mdomo vimefungwa na plasta ishara
kwamba vitu hivyo havina uhuru kwa mwanahabari
pamoja na mabango yao
Kila njia ilitumika mradi ujumbe ufike,
Wanahabari wakajichanga ikapatikana rambirambi
Mhadhiri wa somo la falsafa kutoka chuo kikuu
cha Dar es salaam akilaumu mauaji ya Mwangosi
Dah! huyu jamaa ndo sikumuelewa maana alikaa pozi tofauti
Baadhi ya wanahabari wakiwa wameshika picha ya marehemu Mwangosi
message -" No freedom of expression"
No comments:
Post a Comment
COMMENT HAPA UKIMALIZA, KWENYE PROFILE SELECT ANONYMOUS KISHA BONYEZA PUBLISH.