Haja ya mtoto huyo hupita katika sehemu ya Tumbo
Na zamani ilikuwa ikipita mdomoni kabla hajafanyiwa
operation hospitali ya Muhimbili
Anashindwa kujitafutia kipato kwa madai kwamba mtoto atamuachia
nani?
Anasema hawezi kumtupa kama wengine wanavyowatupa wa kwao.
AKASEMA: “Naomba mnisaidie”
mhh kiukweli yatupasa kumshukuru mungu kwa alivyotuumba ni neema piia yatupasa pia kuwaombea na kuwasaidia pia inapowezekana wenye matatizo kama hayo jamani dahh imeniuma sana jamani mtoto anasikitisha na mama yake aisehhh Eeeh mungu we naomba umbariki huyu mama aweze kupata msaada...
ReplyDelete